Karibuni sana katika saluni yetu
Kiboriloni - Moshi
Tunasuka nywele na rasta aina zote
Kupaka rangi za kucha - Bidhaa za urembo
Tumefungua saluni yetu Kiboriloni center siku chache zilizopita July 2024.
Tuna uzoefu wa kusuka kila aina za nywele kila aina za rasta. Na sasa tunawakaribisha sana kwenye saluni yetu.
Pia tunapaka rangi za kucha aina zote gel na kawaida. Na tunatarajia kuweka kucha za kubandika hivi karibuni.
Karibuni sana!
Tekla & Paulina
EndeleaMIRACLE Hair & Beauty
Tekla & Paulina Mhina
Kiboriloni Center - Moshi
Simu Paulina +255 762 411 319
Simu Tekla +255 754 268 019
Tutembelee kwenye Facebook www.facebook.com/miracle.hair.and.beauty
Moshi - Kiboriloni Center - karibu na soko la juu kabla hujavuka daraja jirani na duka la Ino